Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ourbreak ya dangue imerudi kwa kasi sana please take note, please kuwa makini, unachapwa na dalilo zote za maralia na kichwa kuuma sana, usithubutu kutumia Diclopa kwani ina madhara makubwa and even kifo. Msihi huyu yule na yule, matumizi ya maji mengi ni dawa nzuri na ya haraka

Plz wasisitize ndugu wa karibu kutotumia diclopa haswa wanaposikia maumivu makali ya kichwa kwani yanaenda kukausha platelate na kuziba na hatimaye kifo
 
Huu ujinga sijui utaisha lini!!!
Kipindi cha kuumwa unakosa hata hela ya dawa. Limwili likitengana na nafsi (thamani ya mtu) linasafirishwa kwa mamilioni ya pesa kulipeleka migombani huko...
Utamaduni. Pengine kuna faida zake. Mi kwa vile mama na baba hawapo hapa duniani, kusema kweli siyo lazima nirudishwe nyumbani. Hata wanizike tu hapo hapo nilipozimikia ni sawa. I am dead na nyingine zote ni mbwembwe tu za binadamu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…