Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Au kwa maneno mengine tunaweza kusema neon msamaha ni kitendo cha kurudisha uhusiano wa awali uliovunjika, na kuanza mahusiano mapaya pasiana na kinyongo chochote kile. Kusamehe ni kumfutia mtu makosa yake aliyokutenda bure kabisa.
 
Hizi ndizo ni faida za kusamehe:-

Tunasamehe kwasababu kusamehe ni tabia ya Mungu. Tunapaswa kusameheana kwani muasisi wa msamaha ni Mungu mwenyewe, na kama Mungu angehesabu maovu yetu nani angesimama? Hayo ni maneno kutoka katika vitabu vya Mungu, hivyo kila wakati tunapaswa kuelewa na kutambua na kuelewa nguvu iliyopo katika msamaha ili mioyo yote iweze kuwa salama.
 
Unasamehe ili uwe na amani. Unaposamehe unakuwa unapata amani ya moyo. Mtu ambaye anavumilia uchungu ulioumbika ndani ya moyo na hataki kuachilia fundo hilo lazima litamtesa na atakosa amani ya moyo. Atahangaika na huku uchungu ulioumbika ndani ya moyo ukiendelea kumtafuta.
 
Unasamehe ili uwe na furaha. Kwa kweli ukiangalia watu wanaokataa kusameheana huwa hawana furaha kabisa katika mioyo yao. Kama unaishi katika mahusiano yoyote na mara nyingi huwa watu si wakamilifu basi msamaha ndiyo kiunganishi chenu ambao utarudisha uhusiano uliopotea
 
Tunasamhe ili tuwe na afya njema
Uponyaji wa kweli unaanzia moyoni. Kama mtu anasamehe kutoka moyoni basi huo ni msamaha wa kweli na ni msamaha unaoongozwa na “huruma ya Mungu ndani yake” Watu hawataki kusamehe ndio maana wengine afya zao ni dhaifu. Uchungu ulioumbika ndani ya moyo unaendelaa kuwatafuna.
 
Ufugaji wa kuku una changamoto lukuki, miongoni mwa changamoto hiyo ni pamoja na kuku kupatwa magonjwa. Siku ya leo naomba nikualike rasmi jamvini ili tuweze kuangazia akili na macho yetu katika suala la minyoo.
 
Minyoo kwa kuku ina athari nyingi, athari ambazo zinaweza kumpata hasara kubwa mfugaji wa kuku kama hatozingatia ratiba ya kuwapa dawa ya minyoo kuku wake kila baada ya miezi mitatu.
 
Athari za minyoo kwa kuku ni kama zifuatazo:-
Minyoo mara zote ndani ya mwili wa kuku hutumia virutubisho vyote ambavyo tayari vishameng'enywa na kuku, hali ambayo humfanya kuku kushindwa kurudisha au kufidia nguvu (digestible energy) aliyoipoteza katika kumeng'enya chakula.
 
Kama hiyo haitoshi pia kuku atakosa kupata virutubisho vya uzalishaji (nutrients for production), hali ambayo itamfanya kuku kudhoofika, kudumaa, kupunguza au kutotaga kabisa na hatimaye kufa.
 
Kama hiyo haitoshi pia kuku atakosa kupata virutubisho vya uzalishaji (nutrients for production), hali ambayo itamfanya kuku kudhoofika, kudumaa, kupunguza au kutotaga kabisa na hatimaye kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…