Maria SarungiMashangazi wa taifa...
Huyu wa kushoto ni nani?
Vyote viwili vinaweza kuwa sawa broNdiye alitoa ile ardhi ya Muhimbili au ndiye alijenga kabisa.
Ndizi ikiwa imeiva au mbichi.Kusugulia uso (Scrubing)
Changanya ndizi na sukari kijiko kimoja, kisha paka usoni na usugue taratibu. Ndizi hulainisha ngozi kavu na sukari huondoa seli zilizokufa kwenye ngozi.
Saga ndizi moja na Oats vijiko vitatu kisha changanya na asali na maziwa. Paka usoni kwa dakika 15 kisha sugua.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2],,kwani dad anatakiwa awe na age gani bro??Andaeitini achana na haya mambo. To be a dad my foot [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumi na tano [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2],,kwani dad anatakiwa awe na age gani bro??
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]aisee,sikuona hzo comment,,bado ntaendelea kuwa mpole na mstarabu hvyo hvyoJana tulikuwa tunapiga stori na washikaji hapa nikakutumia kama mfano wa kutoamini watu wanaojifanya wapole na wastaarabu. Ulipokuja hapa yaani ulikuwa mpole balaa. Heri ningejua kuwa utageuka na kuwa "adui" nambari wani wallahi ningeanza kukunyanyasa na Shiro wako asubuhi na mapema.
HahahahaNew TRM member?
Haha hata acc sina huko broUnakimbilia ubuyu?
Unaniangusha bro [emoji16][emoji16][emoji16]