MmhKama haujawahi kuchapiwa dem itakuwa ni kwa sababu huwa unadeti wale wenye sura mbaya mbaya
Source ni Herald..Watu wa Uvinza uvinzani mupo? WHO wametoa tamko. We are in a crisis people. Acheni mambo ya Uvinza !!!
View attachment 1069795
😀Flattery will get you everywhereMjanja mjanja sana, ila hawezi kunisuta ana adabu kidogo kwa kaka zake yule binti.
Ishu za kuzama Uvinza hovyo hovyo ni noma sana...
View attachment 1069800
Mtu nisiojulikana👤Subiri akija. Japo hana maneno mengi lakini leo lazima usutwe. Nimejaribu kweli kumfahamu ni nani ila nimeshashindwa aisee...
Mmmh.. bora ya mie sinaWe sis huwezi kuwa na fyekero. Hilo napinga [emoji16][emoji16][emoji16]