Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Samia ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku moja imepita tangu Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe jana jioni akichangia mjadala wa bajeti ya ofisi ya Rais, Tamisemi na Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhoji ulinzi wa rais kuwa mkubwa.
 
Huku akieleza jinsi alivyoshangazwa na msafara wa Rais John Magufuli jinsi ulivyo na msururu wa magari huku helikopta zikiwa angani, Mbowe amesema, “Ruhusuni tufanye kazi ya siasa, mnatufunga mikono halafu mnaringa hapa tuache tukafanye siasa.”
 
Hata namjua mlengwa basi? Hapo tu nimeishia kumtambua huyo marehemu. Apumzike kwa amani...
Hako kamnyororo kafupi ni ka yeye mwenyewe aliye tangulia, kuna bili ya nazi, halafu Nandi-pa ila sio yule wa Isidingo, mtangazaji Zamara-wi sijui kama inaishiaga na "di" siku hizi. Na huyo mke wa dj sijui ndo yule wa dabiriusibi?!! Wa kuitwa Rami ya Johani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…