Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Uko vizuri [emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16][emoji16]Hako kamnyororo kafupi ni ka yeye mwenyewe aliye tangulia, kuna bili ya nazi, halafu Nandi-pa ila sio yule wa Isidingo, mtangazaji Zamara-wi sijui kama inaishiaga na "di" siku hizi. Na huyo mke wa dj sijui ndo yule wa dabiriusibi?!! Wa kuitwa Rami ya Johani...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] haya mambo ya ubuyu haya...Uko vizuri [emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilisema kitu juzi ukaniambia eti nimekata tamaa. We have issues almost kila mahali top to bottom. Tunaanzisha vitu. Vingine ghali kweli kweli lakini hakuna hata kimoja kinachokwenda sawa no matter how critical it is. Angalia mwendokasi. System muhimu kabisa yenye potential kubwa ya kurahisishia watu usafiri na kupunguza msongamano. Hovyo tu...Sad...
Mambo haya ni privacy naheshimu kanuni na sheria za JF tugonge likes tu hapa
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]Wozaaaaa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1070692
Huyu ndio anaumia haswaa
Hahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]mzee baba huwa nakuona unapita bahari kuuNawaonaga mkiwachambua "the shield"
Naishia kujisemea tu kuwa 'mzee wa pwani kesha nitengua kiuno'[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]