Tena kwa heshima iliyo tukuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]mzee baba huwa nakuona unapita bahari kuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!Jengo la Wizara ya Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) linalojengwa katika Mji wa Serikali jijini Dodoma. Rais John Magufuli amesema wizara hiyo imeshindwa kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo kwa muda uliopangwa hivyo amemtaka Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo na watumishi wa wizara hiyo kuhamia hivyo hivyo.#MwananchiLeo
Mkuu nasikia huwa unawapiga kinyama kwenye forex[emoji1][emoji1]Mkuu mmoja nilikuja kumfundisha forex ikawa forexxxxxxxxx forever
Mwenyekiti mwenyewe wa TRM kapotea/kapotezwa.TRM wenzio huwa wanajificha ficha angalau. You are bold. Wakupe ukatibu mkuu wa TRM aisee...[emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeliona leo asubuhi [emoji16][emoji16]Sasa ulione jengo lenyewe!
Unaogopa snake, mbona wako poa tuLeo tutaota hao snakes...
Mbona leo umekuwa kama dada ISI...[emoji16]
Mmmh kuna siku malkia aliyaweka hapa wacha niyaote usiku
[emoji16][emoji16][emoji16]Hatua ya kwanza leo amefurahiaAcha kabisa Numbisa atakufa na kijiba cha roho
Kwakweli inasikitisha lile jengo bado watu hawawezi kwenda kukaa na kufanya kazi pale.....Inasikitisha na kushangaza sana.
Mmmh kuna siku malkia aliyaweka hapa wacha niyaote usiku
Aisee maumbile yenu Sijawahi kuona mnaweka picha 😬😬
Wabaki hukohuko Snake park..Duu, wazoeee bhana[emoji1][emoji1]
Snake ni moja ya vivutio tunavyojivunia