Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hiyo mbona kawaida tu kwenye magroup ya Whatsapp, Badoo, IG na kwingineko. Machangudoa siku hizi siyo lazima wasimame barabarani na kwenye mabaa. Ni dunia ya kidijitali...
Ila sielewagi kwanini machangudua wa Tanzania wamekuwa vibaka wa kutisha, mwenye uzoefu aulete hapa tujifunze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni fashion wanawake wanajivunia kuwa wajawazito na asilimia kubwa hupenda kuweka kumbukumbu za ujauzito wao tena in public kwa kila mwenye macho ajionee. I love preggo there is something special about preggo usiniulize ni kipi sikijui Fragaria na wanaume wengi wako hivyo.

Yaani hadi kwa wajawazito sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…