Hahahaha
KUB alikuwa sahihiSamia ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku moja imepita tangu Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe jana jioni akichangia mjadala wa bajeti ya ofisi ya Rais, Tamisemi na Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhoji ulinzi wa rais kuwa mkubwa.
Ohooo... Mdogo wangu,habari ya Vingunguti? Kwema kabisa? Nimejikuta napata hamu ya supu ya makende ya mbuzi, itabidi nije kukusalimia...
Namshukuru Mungu nipo vizuri kabisa
Nilikuwepo kwenye tukio hovyo sana
YapUsiku umeingia
Nashukuru sana uongozi wa JF kuweka hii kituPM ukiitumia vema unajitwalia mwanamwali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Amun RaMungu atupe usiku mwema
Kasafiri kwa muda,mie ni ndugu yake nimemshikia simu[emoji23]
Amun RaMungu atupe afya na uzima
Ngoma drooYupi anamuwinda yupi?
View attachment 1070677
Na kwako piaWeekend iwe njema kwetu wooote
Najichekesha tu humu sitaki kinacho endelea kwa mani yuu. Mimi ushabiki siuwezi kabisaHabari njema hiyo tupo na EPL kidogo nimefurahi kuona uwepo wako Jamvini hapa
[emoji23][emoji23]
Umepiga mule muleHako kamnyororo kafupi ni ka yeye mwenyewe aliye tangulia, kuna bili ya nazi, halafu Nandi-pa ila sio yule wa Isidingo, mtangazaji Zamara-wi sijui kama inaishiaga na "di" siku hizi. Na huyo mke wa dj sijui ndo yule wa dabiriusibi?!! Wa kuitwa Rami ya Johani...
Amna ila hii Man united imekuwa kama Asno bhana
HahahahaSimba imeshafungwa na kutolewa, aliyejiapiza kuponda ponda makende yake alete mrejesho [emoji16][emoji16][emoji16][emoji849][emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Umepiga mule mule