Ripoti zimekuwa zikifichua kwamba supastaa huyo wa kimataifa wa Uswisi, aliyejiunga na Arsenal akitokea Borussia Monchengladbach miaka mitatu iliyopita na kucheza mechi zaidi ya 125 huko Emirates amekuwa kwenye rada za wababe hao wa Serie A wakihitaji kumwongeza kwenye mipango yao ya msimu ujao.