Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Arsenal - mabao 53

Kama ilivyo kwa Paris Saint-Germain, Arsenal nayo hawajawahi kubeba ubingwa wa taji hilo la kombe la hadhi kubwa zaidi Ulaya japo kwamba wamekuwa wakicheza soka lenye mvuto mkubwa na kujikusanyia mashabiki karibu kila pande ya dunia hii. Msimu huu Arsenal hawamo kwenye michuano hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufanya hovyo kwenye Ligi Kuu England msimu uliopita na sasa wanapambana ili wawepo msimu ujao.

Lakini, mara zote walizocheza kwenye michuano hiyo kwenye hatua ya mtoano, Arsenal imefunga mabao 53 wakizidiwa na mchezaji mmoja, Ronaldo amefunga mara nyingi kuliko timu hiyo nzima ya huko Emirates.
 
*Wewe ni mtoto wa ngapi kuzaliwa?* [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] *FAHAMU NGUVU ZAKO ZA KUZALIWA KWA UFUNUO WA ROHO MTAKATIFU*

Kumb 33:1-9, Mwanzo 49:3-7, 1Kor 2:10
Kila mwanadamu aliyeumbwa na Mungu Aliye Hai, ameumbwa na nguvu maalumu kutoka mbinguni, ambayo ni mtaji wake maalumu; kiroho, kijamii na kiuchumi.
Mwanzo 49:3
Reubeni u mzaliwa wangu wa kwanza,nguvu zangu na malimbuko ya uwezo wangu. Umewapita wengine kwa ukuu na nguvu.

*1. MZALIWA WA KWANZA KATIKA FAMILIA YOYOTE*
i. Amebeba nguvu nyingi za familia.
ii. Amebeba Baraka za aina mbalimbali za wadogo zake.
iii. Amebeba nguvu ya upendo ndani ya familia.
iv. Mzaliwa wa kwanza ni lango, Zab 24:7-9, ambapo Baraka zote za familia kutoka mbinguni zinapitia kwake na kuwafikia wadogo zake wote.
v. Amebeba ustawi wa familia kiroho na kimwili.

*2. MTOTO WA PILI KATIKA FAMILIA YOYOTE*
i. Ni m’beba neno la uzima.
ii. Kipawa cha ualimu kinakaa vizuri sana ndani yake.
iii. Amepewa neno la uzima la kusaidia kanisa familia na nchi.

*3. MTOTO WA TATU KATIKA FAMILIA YOYOTE:*
i. Ni mtawala katika ulimwengu wa roho na wa mwili.
ii. Ni mtunga sheria popote atakapokuwa anaishi, anasoma au anafanya kazi.
iii. Amepewa mamlaka ya kusimamia jamii, kuiongoza na kuitawala.
iv. Anafaa kuwa mwanasheria au kiongozi popote aendapo.

*4. MTOTO WA NNE KATIKA FAMILIA YOYOTE*
i. Amepewa neema ya kumiliki utajiri wa nchi.
ii. Kama akijitambua na kusimama katika zamu yake, ajue amepewa neema na nguvu ya kuutawala uchumi vizuri sana.
iii. Amepewa nguvu ya kumiliki utajiri wa mbingu na dunia.

*5. MTOTO WA TANO KATIKA FAMILIA YOYOTE*
i. Amepewa neema ya kushinda changamoto.
ii. Amepewa stamina ya kushindana na majaribu kwa asili.
iii. Amepewa neema ya kutumika na upako wa juu sana, kama akiokoka na kujitambua, na kusimama katika zamu yake.

*6. MTOTO WA SITA KATIKA FAMILIA YOYOTE*
Ni mtu wa ujuzi, na talanta. Na Amepewa nguvu ya ubunifu wa pekee.

*7. MTOTO WA SABA KATIKA FAMILIA YOYOTE*
i. Amebeba uheri wa Mungu Mtakatifu.
ii. Yeye ni jubilee, yaani maachilio.
iii. Usithubutu kushindana naye maana hautafanikiwa.
iv. Ukimshitaki hauwezi kufanikiwa.
v. Anafaa kuwa mzee wa kanisa.
vi. Anafaa kuwa hakimu kama ataamua kuichukua taaluma hii.
vii. Ukipata kesi yoyote na akakusindikiza ni lazima utashinda, maana utu wake wa ndani ameumbiwa neema hii.

*8. MTOTO WA NANE KATIKA FAMILIA YOYOTE*
i. Amebeba nguvu ya utumishi.
ii. Amepewa neema ya kusaidia wengi kiuchumi, kiroho na kijamii, kama akijitambua na kusimama katika zamu yake.
iii. Akiokakoka na kuwa mtumishi kanisa lolote, atalisaidia sana kustawi, kwa kuwa ni mtu wa kutegemewa sana.
iv. Amepewa neema ya kuwa nguzo.
v. Ukimtambua katika kanisa lako na kumthamini, na kumtumia vizuri, utafanikiwa sana.

*9. MTOTO WA TISA KATIKA FAMILIA YOYOTE*
i. Ni m’beba karama.
ii. Akipokea kipawa anakitunza sana kwa muda mrefu.
iii. Amepewa nguvu ya umoja.
iv. Ni mtu anaweza kuinganisha jamii, nchi au familia na kuleta mshikamano.
v. Anafaa kuwa mwanasiasa endapo akijitambua na kusimama katika nafasi yake aliyokirimiwa na mungu.

*10. MTOTO WA KUMI KATIKA FAMILIA YOYOTE*
i. Yeye ni msamaha.
ii. Amekirimiwa nguvu ya msamaha.
iii. Amepewa uwezo wa kusuluhisha migogoro kwa ufanisi wa hali ya juu sana.
iv. Anafaa kuwa mzee wa kanisa.

*11. MTOTO WA KUMI NA MOJA KATIKA FAMILIA YOYOTE*
Ni faraja kwa familia.
Kuna wakati anapata tatizo la kukataliwa, lakini ni mvumilivu sana.
Mkikaa naye kwa upendo mtabarikiwa sana.

_JIULIZE WEWE NI MTOTO WA NGAPI NAJEE UNAITENDEA VYEMA NAFASI YAKO?_

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza naona Wabongo tumeanza kukataa upuuzi wa hii Serikali dhalimu. Huu mjadala wa kikaragosi ndugai na CAG Assad mitandaoni hapa, Facebook na Instagram Watanzania wengi wameoshenya kuchukizwa sana na kikaragosi ndugai huku wakimuunga mkono CAG Assad na kumuomba asijiuzulu na wala asiende Ikulu kama alivyoshinikizwa na kikaragosi cha dikteta eti akajieleze na kuomba samahani. Wengi wamemwambia hajatenda kosa la kuomba samahani na kama dikteta anataka aende Ikulu anajua namna ya kumpata na siyo kutumia huyo mlemavu wa akili ndugai.
 
Tuanzie kwako kwanza,,ww ni wa wangapi consuela
 
Drake ametajwa kuwa na nuksi baada ya hivi karibuni timu za Arsenal na Manchester City kukumbana na vipigo baada ya mastaa wao kuposti picha kwenye mitandao ya kijamii zilizowaonyesha wakiwa wamepozi na rapa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…