capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Mmmh "Trying to say?"
No. You were saying that You free.Mmmh "Trying to say?"
👍👌👌👌Pulizia au paka perfume yako nyuma ya magoti, kwenye kiungio cha mkono na kiganja kwa mbele, mbele ya kiwiko, nyuma ya masikio/shingoni/kwenye nywele , juu ya kitovu na pembeni ya miguu.
I Was?No. You were saying that You free.
Am notI Was?
Are you free?
Aina za perfume
Eau de Perfum
Katika chupa ya perfume aina hii, manukato ( chanzo cha harufu) ni asilimia 15 hadi 20. Huchukua muda mrefu zaidi kuisha mwilini yani masaa manne hadi matano mwilini.