capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nasubiri jibu! kumbe kuna obvious signs?What are the obvious signs of a cheating partner?
π€ Mindset tu!Ngoja nitajaribu Frag,,,japo ni gumu,, madesa yameshaingia kwenye damu[emoji2][emoji2]
Masha Allah jicho kama lote..
Inatokeaga...Game Of Thrones ina nini?? Me mbona niliishindwa ??
Nmetizama VIKINGS iko poa ila GoT sina habari nayo kabisa nahisi nilitizama hadi seaso 5 ikanichosha.Inatokeaga...
Kama hupendi mambo ya zamani ya vita vile vya kihistoria huwezi ipenda.
Ila ni nzuri hii jamani Dah..
unafeel kama uko kule.
Kuna series kama "Vikings" nzuri nayo dah
π₯π₯π₯π₯
Unanifurahisha sana.Nice hair