Mnapeana moyo wenyewe"Wee kaka una maneno ya faraja"alisikika numbisa akimshukuru capitalpool
Sijui illuminati huyu sijui ni kitu gani kha..DoomsdayYegomasika all the bestView attachment 1074493
Na mwanamke bila kuwa nawe kihisia utafanya ujanja wako wote anakucheki tu. Hata uwe na mjurubeng kama wa punda sana sana utaishia kumuumiza tu..na hapa ndipo wanaume wengi huwa tunafeli. Unapiga raundi 8 usiku kucha unaondoka mgongo unakuuma huku unajidai kuwa eti umetoa shoo ya kibabe kumbe binti wa watu hakuna alichopata. Halafu wala hakwambii...Ni mtihani sana bro...Ahsante sana Bro, wanatupa lawama zisizo zetu.
Unachopitia, napitia pia. Najua vile unajiskia . Ni muhimu kufarijiana tupo na wakati mgumu sana."Wee kaka una maneno ya faraja"alisikika numbisa akimshukuru capitalpool
Umenichekesha sana bro...You da man [emoji109][emoji109][emoji109]Mi Sinaga Tatizo Na Msichana Kuniomba Hela.
Ila Nina Tatizo Yani Sijawahi Ata Kukushika Bega Unataka Hela.
We Subiri Nikuonje na Wewe Ndo Uonje Hela Zangu..
Kwa hiyo tujibebe bebe!Na mwanamke bila kuwa nawe kihisia utafanya ujanja wako wote anakucheki tu. Hata uwe na mjurubeng kama wa punda sana sana utaishia kumuumiza tu..na hapa ndipo wanaume wengi huwa tunafeli. Unapiga raundi 8 usiku kucha unaondoka mgongo unakuuma huku unajidai kuwa eti umetoa shoo ya kibabe kumbe binti wa watu hakuna alichopata. Halafu wala hakwambii...Ni mtihani sana bro...
Ukienda naye kihisia kufika kona ya Bwiru hata dakika mbili haziishi...it is all mental...
Masoud walimzomea lakini kimsingi yupo sahihi. Wanachosahau watu ni kuwa we are animals na bado tuna zile instincts za kusambaza genes zetu as much as possible ili kuhakikisha kuwa species haiwi extinct. Ndiyo maana Serengeti kule ukiona madume yanapigana sababu kubwa likely ni sex na halafu chakula then territory.'hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja,kama yupo ni changamoto tu za kiuchumi'-Masoud Kipanya
Ndo maana nasema ni uzembe wao. Wao wanadhani tunatafuta ni kukimbia round zote hizo?Na mwanamke bila kuwa nawe kihisia utafanya ujanja wako wote anakucheki tu. Hata uwe na mjurubeng kama wa punda sana sana utaishia kumuumiza tu..na hapa ndipo wanaume wengi huwa tunafeli. Unapiga raundi 8 usiku kucha unaondoka mgongo unakuuma huku unajidai kuwa eti umetoa shoo ya kibabe kumbe binti wa watu hakuna alichopata. Halafu wala hakwambii...Ni mtihani sana bro...
Ukienda naye kihisia kufika kona ya Bwiru hata dakika mbili haziishi...it is all mental...
Haya mambo ni magumu...Kwa hiyo tujibebe bebe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mie mwenyewe nimeshindwa ifungua akili zimeenda na man u basi tabu tupu