Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hata mimi kamanda. Kakipande ka sato na vijani viwili vya mchicha nasikia ni laki mbili. Kama siyo udwanzi huo ni nini? Wakianza kuuza ugali na bamia tushtuane [emoji16][emoji16][emoji16]
Aseee, sikulijua hiloAlivaana na mwanaharakati mwenziye kuhusu yale mapicha ya chupi chupi naona hawakuelewana vyema. Si ajabu kasusa [emoji16][emoji16][emoji16]
Na fisi. Wakimkuta katika hali hii basi wanaanza kumtafuna laivu...
Mpenda watoto
Enzi zilee za mikwara ya Unachokitafuta utakipata [emoji16][emoji16][emoji16]Mpenda watotoView attachment 1075832
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Enzi zilee za mikwara ya Unachokitafuta utakipata
We acha tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
"Dad" Ulipata tabu sana kwa wananzengo
Yego njoo huku kuna mtu anakwesheni ugumu wetu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha aisee
Kuna komenti nimekutana nayo huko nayo inawasimanga kyusa...Wanyakyusa bana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1075818
Likawe kumbusho jema na kwako pia [emoji120][emoji120]Huyo bana hawajui wagumu. Hivi hiyo 5 star ni nini? Ijumaa njema wote bandugu, kula nyama leo marufuku. Hili ni kumbusho tu la kirafiki! [emoji1][emoji1][emoji1]
Likawe kumbusho jema na kwako pia [emoji120][emoji120]
Ankoo habari za Ijumaa kuu ?Hahaha aisee