Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Lubede duh...si kwa povu hili wallahiTumeshaanza kuharibu tena, hapo kati tulipumzikaKuna komenti nimekutana nayo huko nayo inawasimanga kyusa... View attachment 1075847
Salama ankoo,ijumaa iko njema kabsa,hope huko ulipo upo salama pia na wote uwapendao.Ankoo habari za Ijumaa kuu ?
Husika nayo hata kama labda upo upande wa pili, kawaida yetu kushirikiana
Hapo sasaUfupi wake unahusu nini bhana[emoji16][emoji16]
Hakika tupo salama kabisa ankoo.Salama ankoo,ijumaa iko njema kabsa,hope huko ulipo upo salama pia na wote uwapendao.
Asante sana ankoo
Ankoo [emoji137][emoji137]Hapo sasa
Nipo ankoo,,nipe location tujumuike wote na familia[emoji2]Hakika tupo salama kabisa ankoo.
Karibu pasaka kama upo hapa mjini
Pasaka ankooHapo sasa
Long live ankoooooo. ShikamooooAnkoo [emoji137][emoji137]View attachment 1075864
Sawa ankooNipo ankoo,,nipe location tujumuike wote na familia[emoji2]
Ankoooo fundi keshaniharibia pasakaPasaka ankooView attachment 1075867
Long live ankoooooo. Shikamoooo