capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Umekula like yangu.Ni nani anayeamua kuwa haya ni mashudu na haya siyo? Ni wahusika wa mazungumzo, hadhira, mada, muktadha au majiniazi kama wewe mnaoweza kufika kijiweni na mara moja mkabaini kuwa watu wanaongea mashudu; na kuwaanzishia mada nzito nzito?
Karibu kwenye chit chat kamanda ...[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwamba sisi tulio humu hatushobokewi huko kwingineKivipi mkuu?
[emoji109][emoji109][emoji109].Umekula like yangu.
Kweli ehee nilitaka kushangaaNi picha tu, huyu dada ni mjukuu wake.
Amejaribu kufafanuaKwamba sisi tulio humu hatushobokewi huko kwingine
Hahahahha kijana mpole banaMakala yako ya Leo nzuri sana kwa kweli
Kwamba tunaongea mashudu!Amejaribu kufafanua
Ndiyo [emoji16][emoji16][emoji16]Kwamba tunaongea mashudu!