Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahah anatoa mchanganuo kama report ya CAG😂 Umeona eee.. huo mchanganuo sio wa nchi hii
Ya kukaa mwanza kama choki vileBro aliongelea mambo ya Ali choki?
Me pia simjui ndio binti mpole anasema unahusika na hiyo issueAli Choki ni nani bro?
Nimekwambia haya mambo ya ubuyu na umbea tuwaachie wenyewe hunielewi [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah! Nyanda za juuYa kukaa mwanza kama choki vile
😂😂😂😂 week moja takatifu inakutoshaNimesharudi. Si ilikuwa wiki moja tu ama? Au unafikiri nami nimekwama siksi months kama wewe ulivyokwama Nyegezi bro?