Very very 🔥
Nyanda za juu Kusini hizi sijui kama zitaniacha salama. Ningejua nisingeenda [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kamanda wetu ameshikwa pabaya[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]la wa kucha haukusingiziwaaKama una wenyeji humu ndani najua utakua unajua ni mara ngapi nimeingizwa kwenye migogoro isiyokua yangu. Kama ni mgeni basi hichi kiatu ni kikubwa kwako ndio mana unashangaa
Nini mafuta kuna kideo nimekiona watsupu ujinga mtupu eti jamaa kakaa juu ya kiti kirefu watu wanapita mmoja mmoja jamaa anapewa kopo la maji ananawa uso kichwan kwa mtu na miguu ananawa kichwa kwa mtu eti uponyajii halafu ni wahind na waafrika humo humoMtu ana mimba changa anakunywa MAFUTA kisa kapewa na nabii. Mafuta yananywewa?
Safi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo pia nilishaiona. Kuna yule wa Brazil alikuwa anawanywesha manii zake...na wanakunywa kabisa...Nini mafuta kuna kideo nimekiona watsupu ujinga mtupu eti jamaa kakaa juu ya kiti kirefu watu wanapita mmoja mmoja jamaa anapewa kopo la maji ananawa uso kichwan kwa mtu na miguu ananawa kichwa kwa mtu eti uponyajii halafu ni wahind na waafrika humo humo
Hata la kukwama Nyegezi baada ya kuzinduliwa fo ze sekandi taimu hakusingiziwa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]la wa kucha haukusingiziwaa
I dont know but I love that brown the most on her lips.Pink for me I have a weakness when it comes to that beautiful colour 😎