Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zimechukuliwa mechi 50 za mwanzo wa kocha Wenger kwenye kikosi cha Arsenal na idadi kama hiyo ya mechi za Emery kwenye kikosi hicho na hapo ndipo ilipoonekana kwamba mabosi wa Arsenal walituliza akili wakati wanamsaka mtu wa kuja kuvaa viatu vya kocha aliyedumu kwenye timu kwa miaka mingi na kuonekana kama vile ni timu yake binafsi.
 
Katika mechi hizo 50, Wenger alishinda 23 tu wakati Emery ameshinda mechi 32. Kuna tofauti ya mechi tisa, kwamba Emery ameshinda zaidi. Katika mechi hizo, Wenger alitoka sare mara 17, wakati Emery kikosi chake kimetoka sare mara saba tu, hiyo inaonekana wazi kwa hesabu za haraka tu, kwenye mechi hizo 50 hadi hapo, Emery amevuna pointi nyingi kuliko Wenger.
 
Kwenye mechi walizopoteza, Wenger alishuhudia Arsenal yake ikichapwa mara 10, wakati Emery amechapwa mara 11, lakini chama la Mhispaniola likiwa kiboko kwenye kufunga, likifunga mabao 97 huku Arsenal ile ya Wenger katika mechi 50 za mwanzo ilifunga mabao 88.
 
Kwenye upande wa mabao ya kufungwa, Emery kikosi chake kimeokota mipira kwenye nyavu zao mara 53, wakati Wenger aliruhusu mabao 46 katika idadi hiyo ya mechi, lakini kama ingekuwa jambo la pointi, basi kwenye mechi hizo 50, Wenger amevuna pointi 86, wakati Emery ameweka kibindoni pointi 103.
 
Kwenye upande wa mabao ya kufungwa, Emery kikosi chake kimeokota mipira kwenye nyavu zao mara 53, wakati Wenger aliruhusu mabao 46 katika idadi hiyo ya mechi, lakini kama ingekuwa jambo la pointi, basi kwenye mechi hizo 50, Wenger amevuna pointi 86, wakati Emery ameweka kibindoni pointi 103.
 
Phil Foden's first Premier League goal returned Manchester City to the top of the table as they overcame Champions League conquerors Tottenham at Etihad Stadium.
 
Hiyo inatosha kuthibitisha chaguo sahihi lililofanywa na Arsenal wakati ilipombadili Wenger huko Emirates kwa kumleta Emery. Kwa mwanzo huu, Arsenal ipo kwenye mikono salama.
 
The 18-year-old's diving header, created by Sergio Aguero, after only five minutes ensured the reigning champions maintained the pressure on rivals Liverpool before their match at Cardiff City on Sunday.
 
Foden gave City the perfect start but Ederson thwarted Son Heung-min on three occasions and saved well from Christian Eriksen and Lucas Moura. Son was also denied by a magnificent tackle by Aymeric Laporte.
 
Raheem Sterling had City's best chance after the break, only to be frustrated by the outstretched leg of Spurs keeper Paulo Gazzaniga - in for injured Hugo Lloris - but Pep Guardiola's side held on to move a point clear of Liverpool with four games left.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…