Hakuna watu wenye nguvu kama walevi na watoa 'biriani' unaambiwa eneo lake la biashara wateja wanajaa. Nahisi ni kwa muda tu kisha watapungua hasa baada ya kunyimwa kumuonja mpishiDooh! Hatari sana, sasa leo nimeona posts humu jukwaa letu pendwa kuhusu biriani biriani ikabidi niulize kwa wadau wa karibu nao hawajui ndio nikaona nivunje ukimya bhana asante kwa ufafanuzi. Ila hii issue nahisi inaweza pandisha au kumuharibia biashara yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeeeHahah movie la kihindi mtu anachinjwa kwakutumia ndizi
Dooh! huyu mdada enzi za BBM alinionesha ubaguzi wa umri, nilikua mdogo kwake hivyo akazinguaNi mwenyewe
Hahah!! Nipe user name yake mkuuMie simjui vizuri ila niliwahi kuona kule insta video akikaangiza sijui ilikuwa ni biriyani au pilau kwenye sufuria kubwa nadhani ya biashara ile, basi kila akisogea kidogo tako lake lililo na mjengo wa kuvutia lilikuwa linatetemeka kama limepigwa na shot ya umeme.
Dooh bongo noma sanaaaa ๐๐๐Hakuna watu wenye nguvu kama walevi na watoa 'biriani' unaambiwa eneo lake la biashara wateja wanajaa. Nahisi ni kwa muda tu kisha watapungua hasa baada ya kunyimwa kumuonja mpishi
Hahah!! Nipe user name yake mkuu
Mkuu umefanya jambo la maana sana nashukuru, ila hawa wadada wenye mizigo wanahamasisha sana mtu ukosee njiaNgoja nikutafutie Mkuu ila si yeye kuna jamaa alituma. Hii hapa Mkuu, nadhani ndiye yeye huyu.
Mkuu umefanya jambo la maana sana nashukuru, ila hawa wadada wenye mizigo wanahamasisha sana mtu ukosee njia
Mh icho chakula lazima kiwe kitamu na Wateja watakuwa wa jinsi kongwe tuNgoja nikutafutie Mkuu ila si yeye kuna jamaa alituma. Hii hapa Mkuu, nadhani ndiye yeye huyu.
Mh icho chakula lazima kiwe kitamu na Wateja watakuwa wa jinsi kongwe tu
Hahah! nilitaka utie neno hapo mkuu ila poa sio kesi kwakua umekua mjanja๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃno comment Mkuu
Ila ulitakiwa ulete na location yake kabisa kwa google mapBila ya shaka Chief Editor.
Naona leo umeamua kujipost.
Ila ulitakiwa ulete na location yake kabisa kwa google map
๐๐Ukiwa mla ubuyu marufuku kusahau vitu kama hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]