Hahah na badoJion imeharibikaaaaaa
Ngoja niingie kwenye uzi wa Man U nikacheke hukoShuain zao ila leo nawaombe mpite. Pigen hao cardiff
HahahGazeti lote hili sijaona point hahahaa chezea mnyama. Nimeweka rekodi zote zisome umuelewe.
Juve kama pesa za kumsajiri CR7 walirudisha ndani ya miezi michache na kuhusu UEFA kawafikisha mbali na magoli kajiongezea. Cheki madrid bila ronaldo wamedondoka vibaya.
Mmmmhhh na wewe toa pole basii hope poti leo hatatokea hapa hahahahHahah na bado
Jamaniiiiii[emoji23][emoji23]Ngoja niingie kwenye uzi wa Man U nikacheke huko
Hahahahha na sitaki kuivua pasaka isiharibike zaidiHahah
Point huwezi kuona bint mpole maana umevaa miwani ya mahaba machoni mwako
Pole sanaMmmmhhh na wewe toa pole basii hope poti leo hatatokea hapa hahahah