My Boy smoker nipe gwara, on top of hill naweka Bendera ya RHaribuni ishu zingine lakini kwa nyumbani kunakuwaga na TORATI
Magonjwa ya kizungu?Pole magonjwa ya kizungu hayo..punguza bata...
No kidding kula vitunguu saumu
My Boy smoker nipe gwara, on top of hill naweka Bendera ya R
Magonjwa ya wenye fwezaaa...Magonjwa ya kizungu?
Kuna magonjwa ya kizungu siku hizi?
Ni kupuyanga tu mwanzo mwisho [emoji16][emoji16][emoji16]Sina aisee.. ni kupambana na hali yako tu
Siyo kwa siku hizi. Mchicha wenyewe huo umejaa pesticides kibao...Magonjwa ya wenye fwezaaa...
Wanaokula dagaa na mchicha kila siku hawana shida
Hutofanya kazi ukipenda unachofanya, hautopata mafanikio ulimwengu ikiwa kama unahanyaNiache Mwanao usinishike shati napita kati utafikiri nimegeuka sande Manara
🤣🤣🤣 food paranoiaSiyo kwa siku hizi. Mchicha wenyewe huo umejaa pesticides kibao...