Kuna mmoja huyo miaka hakati tamaa aisee..Naona kama nataka kuanza kumhurumia😔
Michicha hiyo inayolimwa kando ya barabara na kwenye madimbwi huko inamwagiliwa makemikali mhh...acha tu niwe na food paranoia kwa kweli...[emoji1787][emoji1787][emoji1787] food paranoia