Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia wanaume kwa wanawake tuwe watu wakufanya mazoezi jamani especially cardios,kukimbia nini.
Kama wewe unapenda kula kama mimi..especially nyama..makesure mbogamboga na fruits kama parachichi pamoja na maji ni rafiki.
Na zoezi lazima.

Unajua nini,mafuta yakiganda kwenye mishipa ya damu ya ubongo halafu ikatokea situations blood pressure ikapanda,ile mishipa ina burst cuz nafasi ya kupitishia damu ya pressure kubwa inakuwa ndogo,damu inavuja kwenye ubongo.

Wapendwa,watz wenzangu najua zoezi sio utamaduni wetu ila tujitahidi.Esp ambao bado ni vijana wadogo kupunguza complications za baadae.

Mapendo.
 
Hiyo taarifa ya huyo mama niliiona sehem(natumai tunamzungumzia mtu mmoja)...on a serious note asante kwa ukumbusho
Nimeisoma ishu nzima and the scientific basis behind it. Inatokea japo ni rare kidogo na mara nyingi ni kwa watu ambao tayari wana underlying conditions (mf. clogged/hardened blood vessels) na ishu zingine kama high blood pressure. Huyu mama kaunda organization yao kabisa - waathirika wa mshindo mkito (intense orgasm)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…