SLEDGEHAMMER
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 1,030
- 5,969
NomaNimeisoma ishu nzima and the scientific basis behind it. Inatokea japo ni rare kidogo na mara nyingi ni kwa watu ambao tayari wana underlying conditions (mf. clogged/hardened blood vessels) na ishu zingine kama high blood pressure. Huyu mama kaunda organization yao kabisa - waathirika wa mshindo mkito (intense orgasm)!
Tulia wewe kula likes kwanzaThanks
HahahahaShimba ya buyenze kama nakuona unavyo cheka cheka peke yako
Sio umtafute kwa vazi jingineAcha nikatafute jukwaa la kutolea povu langu kwanza
Kiongozi naona umerudi kula likes zakoduuuuhh...wakuu mnatisha
HahahaTaarabu ila Toa likes Pata likes
Bro, vipi unamtaka Carba ama? Au tayari ushajipenyeza mtimani mwake? Maana naona vimaswali na vi-observations vya ajabu ajabu.Ndo niliyoipenda,kuna shida kwani?
Nani tena?Sio umtafute kwa vazi jingine
Amna shida kabisa ila Kuna miwani ninayo itakutosha vizuriNdo niliyoipenda,kuna shida kwani?
mkuu nazipenda kweli ila mambo mengiKiongozi naona umerudi kula likes zako