Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kazi kubwa ya Kungumanga ni kuweka usawa wa muonekano wa macho katika urembo kamili.

Vipi kiongoziMmh!
Nilichojifunza huku mitandaoni inabidi kuwa makini sana hasa unapoexpose taarifa zakoMitandaoni humu hakuna kitu kinachonishangaza tena...
Huoni mabinti wanavyoteseka kwa nudes zao kuwekwa hadharani?
[emoji15][emoji15]Huyu usishughulike naye ni CHAUMBEA
Bro anavyoikataa hiyo nyama 😁Vipi kiongozi
Je! ushawahi kutumia kungumanga? (Swali). Utumizi wa Kungumanga ni katika usago wa tunda yake (Mbegu) na mchanganyo wa kwenye glasi ya juisi ama kikombe cha uji.

Na baada ya muda mfupi macho huwa katika urembo wa uhakika katika ulegevu imara wenye mvuto hasa
Lakini matumizi ya kungumanga ni kama kileo hivyo hupaswi kutumia mara kwa mara bali kwa uchache zaidi.