Kupunguza hatari ya kupata saratani
Katika kuangalia takwimu za lishe ya wanawake 90,630 wenye umri kati ya 26 hadi 46 katika chuo kikuu cha Havard Kitivo cha Afya ya Jamii, matokeo yalionyesha wanawake waliokuwa wakila mharagwe angalau mara mbili kwa wiki, wana asilimia 25 ya kupunguza hatari ya kupata saratani ya matiti, kulingana na wanawake wanaokula mharagwe kwa mwezi.