Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b36d64d2-03d8-421a-b73a-5a455147fff6.jpeg
 
Aisee. Kati ya watu wavivu kuangalia movies ni mimi. Nilizoangalia naamini hazizidi 10 japo nina collection nzima ya James Bond, Schwarzenegger (mwanzoni mwanzoni) na chache inspirational na Classics kama Leon on Me na The Good, The Bad and The Ugly...
Hahah! Inataka muda afu na mood pia, mimi mwenyewe kuna wakati nakuaga sitaki kabisa kusikia ata kitu kinaitwa movie
 
Ni topic sensitive kidogo...na sikupenda nihusishwe nayo katika muktadha ule ilikokuwa inaelekea. Samahani kama nimekukwaza kamanda...[emoji109][emoji109][emoji109]
Mkuu hapo kabla sikujua maana huwa sipitiagi nyuzi zenye mlengo furani, hata hivyo baada ya sms zako mbili ilinibidi nipite huko nikaone kinachoendelea na nimeelelwa.
Shukrani kamanda [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Aisee. Kati ya watu wavivu kuangalia movies ni mimi. Nilizoangalia naamini hazizidi 10 japo nina collection nzima ya James Bond, Schwarzenegger (mwanzoni mwanzoni) na chache inspirational na Classics kama Lean on Me na The Good, The Bad and The Ugly...

Nina ugomvi usioisha na kaandaeitini kenzangu kamoja hivi. Mambo ya kwenda AMC kila weekend yalishanishida, basi si ugomvi huo! [emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom