Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Wanakera sana....wengine unakuta umechat nae anascreenshot anaweka status kabisa watsappWajinga,wapuuuzi,mambulula na matusiiii yoooteeee yawafikie wenye tabia hio. Wanaboa sana
Pole pole bro.....Bro anavyoikataa hiyo nyama [emoji16]
Stop it please. It is not funny !!!Labda anadhani hiyo nyama ni kibudu,[emoji16].
Si unajua wengine hawali nyama kibudu[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nimeona bro wakina Malaika wa giza wameshupaa sana wakitetea pesa ya boda boda ilipwe 😁😁Pole pole bro.....
Nenda kwenye ule uzi original uone kulivyowaka...Ila inafurahisha. Mabinti kama watatu hivi wamesimama kidete kumpigania mwenzao ili asidhalilishwe...na wamefanikiwa. Jamaa kabadilisha mafyekero mpaka amechoka...
Hizi movies zote umeshaziangalia?Alvin and Chipmunk
Najiulizaga wanapata wapi ujasiri wa kutangaza siri ulizoshiriki.Washamba sana halafu ukute watumia mchina hao wenye simu orijino hawana ulimbukeni huo hahahaahah
Nyingi kati ya hizo nimeangalia bro nashindwa kuangalia zote japo ninazo. Muda unakua hautoshiHizi movies zote umeshaziangalia?
Duuu, aseee sawa kamandaStop it please. It is not funny !!!
You are talking about a human being here...Be sensitive !!!
Salaam mkuu, karibu tenaWakuu
Aisee. Kati ya watu wavivu kuangalia movies ni mimi. Nilizoangalia naamini hazizidi 10 japo nina collection nzima ya James Bond, Schwarzenegger (mwanzoni mwanzoni) na chache inspirational na Classics kama Lean on Me na The Good, The Bad and The Ugly...Nyingi kati ya hizo nimeangalia bro nashindwa kuangalia zote japo ninazo. Muda
Asante za pasaka mkuuSalaam mkuu, karibu tena