Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shwari mkuuAsante za pasaka mkuu
Ni topic sensitive kidogo...na sikupenda nihusishwe nayo katika muktadha ule ilikokuwa inaelekea. Samahani kama nimekukwaza kamanda...[emoji109][emoji109][emoji109]Duuu, aseee sawa kamanda
Hahah! Inataka muda afu na mood pia, mimi mwenyewe kuna wakati nakuaga sitaki kabisa kusikia ata kitu kinaitwa movieAisee. Kati ya watu wavivu kuangalia movies ni mimi. Nilizoangalia naamini hazizidi 10 japo nina collection nzima ya James Bond, Schwarzenegger (mwanzoni mwanzoni) na chache inspirational na Classics kama Leon on Me na The Good, The Bad and The Ugly...
Hapo sasa shuain zaoNajiulizaga wanapata wapi ujasiri wa kutangaza siri ulizoshiriki.
Ulimbukeni, ushamba au uboya?
Nadhani ni mtindio wa ubongo
Mkuu hapo kabla sikujua maana huwa sipitiagi nyuzi zenye mlengo furani, hata hivyo baada ya sms zako mbili ilinibidi nipite huko nikaone kinachoendelea na nimeelelwa.Ni topic sensitive kidogo...na sikupenda nihusishwe nayo katika muktadha ule ilikokuwa inaelekea. Samahani kama nimekukwaza kamanda...[emoji109][emoji109][emoji109]
Hio naiona sana na kuwachana laivu inakua ngumuWanakera sana....wengine unakuta umechat nae anascreenshot anaweka status kabisa watsapp
Hio naiona sana na kuwachana laivu inakua ngumu
Mke wangu chats zako unamanisha zimeanikwa WhatsApp?Wanakera sana....wengine unakuta umechat nae anascreenshot anaweka status kabisa watsapp
Aisee. Kati ya watu wavivu kuangalia movies ni mimi. Nilizoangalia naamini hazizidi 10 japo nina collection nzima ya James Bond, Schwarzenegger (mwanzoni mwanzoni) na chache inspirational na Classics kama Lean on Me na The Good, The Bad and The Ugly...
Kwenye maua jamaa kajitahidi. Hata Yego haoni ndani [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1078941
Subiri akija. Stori za ugumu zinakuhusu [emoji16][emoji16][emoji16]