Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Yeah, na ndio sababu kila nikiliona nnaliona la kifaransa ... haya dada.Anhaaa, hilo neno LE pekee ndo la kifaransa.
Yeah, na ndio sababu kila nikiliona nnaliona la kifaransa ... haya dada.Anhaaa, hilo neno LE pekee ndo la kifaransa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtapata tabu sana. Nawaombea mema
Love lockdownHeartless
Mix - Kendrick Lamar - Poetic Justice (Explicit) ft. Drake:
Acha na mimi niserebuke na nyimbo za ujana wangu
For real.He was not perfect but a special gift from God to our beloved Country. Rest In Peace Baba wa Taifa.
For real.
Pressure ya mataifa ya nje ilichangia sana awe na maamuzi magumu ambayo kwa namna nyingine yaliwaumiza Watanzania.
R.I.P. Mwalimu