Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

This is very wrong DP. You made a huge mistake to attack the mother of your beautiful children in public. Take care of your dirty laundry in closed doors.

Malezi Malezi Malezi...

Wanaume wengi wameingia kaburini wakiwa na sura zilizo jikunja kwa maumivu,sio kwamba in kugugumia kifo bali ni yale mazito aliyo yahifadhi kifuani mwake.
Bwana mdogo amekosa muongozo kutoka kwa wazazi,lakini pia kutoka kwa viongozi wake.Ameyatapika machache ila amejiongozea mzigo mzito kuliko hata aliokuwa nao kabla...
 
20190424_133355.jpeg
 
Kuna ndugu yangu alikuwa mtu wake wa karibu,japo si muongeaji sana ila mawili matatu kuhusu Mwalimu akiyasimulia ndipo unakiri kuwa alikuwa ni wa tofauti.Ikumbukwe kuwa palipo na wema juwa kuwa wabaya ni wengi zaidi,na huwa na nguvu sana ya kupindua mambo...
Kabisa Mkuu lakini alikuwa na mapenzi ya kweli kwa Watanzania na Tanzania hakuwa mwizi, muongo wala fisadi ukilinganisha na majizi baada yake. Huwa nikisoma kuhusu yeye au kuwasiliza watu waliomfahamu kwa karibu nafurahia kuona tulibahatija kuwa na kiongozi mzuri kama yeye.
 
Back
Top Bottom