Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

For real.
Pressure ya mataifa ya nje ilichangia sana awe na maamuzi magumu ambayo kwa namna nyingine yaliwaumiza Watanzania.
R.I.P. Mwalimu
Nyerere Ana Sifa kuu mbili zinazompambanua:

(1). HAKUWA FISADI japo wenzake walikuwa wanaiba tu kama kawaida naye kazi yake kubwa ilikuwa ni kuwahamisha kutoka huku kwenda kule..

(2). Aliamini kabisa siasa zake za Ujamaa na Kujitegemea kuwa ndizo zilikuwa falsafa sahihi ya kutuletea maendeleo. Na kutokana na misingi ya siasa hizi akafanikiwa kujenga utaifa na uzalendo wa hali ya juu.

Na katika yote haya inavyoonekana alikuwa peke yake na hakuwa na mfuasi wa kweli hata mmoja. Na ukiwa huna mfuasi wa kweli hata mmoja ni crisis kwa sababu hata uwe mzuri namna gani hutaweza kufanikiwa. Ndiyo maana ukiangalia vizuri, viongozi wengi waliofanikiwa ni wale waliokuwa na wafuasi walio invested na wako tayari kufuata mafunzo na falsafa za kiongozi wao kivitendo - hata kama kiongozi wao hayupo.
 
Screenshot_20190424-114050~2.jpeg
 
Back
Top Bottom