Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kabisa Mkuu lakini alikuwa na mapenzi ya kweli kwa Watanzania na Tanzania hakuwa mwizi, muongo wala fisadi ukilinganisha na majizi baada yake. Huwa nikisoma kuhusu yeye au kuwasikiliza watu waliomfahamu kwa karibu nafurahia kuona tulibahatika kama Nchi kuwa na kiongozi mzuri kama yeye.

For real.
Pressure ya mataifa ya nje ilichangia sana awe na maamuzi magumu ambayo kwa namna nyingine yaliwaumiza Watanzania.
R.I.P. Mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…