Hapa jukwaa nitawaomba member wasichukie ππππHilo darsa utalitolea wapi mkuu
Manywele ya wafu hayo yanakuja na mapepo yake. Kuwashwa huko siyo bure [emoji16][emoji16][emoji16]Mkeo sio mpenzi wa haya mawigi. Binafsi nikiweka wigi yaani sekunde kichwa kinawasha vibaya hata kama nitaosha vipi nywele nimeamua niwe na nywele fupi
Kichwa changu kina matatizo aisee hakipendi kuwekwa mapamboManywele ya wafu hayo yanakuja na mapepo yake. Kuwashwa huko siyo bure [emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja tumuite NumbisaNini kinaendelea hapa?
View attachment 1080742
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sawa sawa,Hapa jukwaa nitawaomba member wasichukie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi ni mzima kabisa hofu kwako.Bradha naona una like hebu ukuje tusalimiane mpendwa
Ninge unatarajia kutalaka baadaeπππ au unatafuta elimu tuu?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]sawa sawa,
Nimeamua kuwa na nywele fupi baada ya kuona urembo unanikataa kichwaniMimi ni mzima kabisa hofu kwako.
Kumbe una nywele fupiπππ
Natafuta elimu tu ndugu yangu,,kwann nifanye hivyo[emoji2]Ninge unatarajia kutalaka baadae[emoji3][emoji3][emoji3] au unatafuta elimu tuu?
Sisi wengine tunapenda za hivyo.Huo nao ni urembo.Nimeamua kuwa na nywele fupi baada ya kuona urembo unanikataa kichwani