Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Samahani aisee. Sikuangalia hata jina. Nilifikiri naongea na mwanaume...

Hongera kwa kuwa mke wa tatu mkuu. Wanawake hata wawili tu sidhani kama nitawaweza. Nahisi kama vile nitakufa mapema tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Ule ushabiki wa misambwanda tofauti tofauti nikadhani nawe unamiliki wanne au sita [emoji23][emoji23][emoji41][emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…