Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kenneth apite salama huko
Naona picha kibao zenye hashtag ya kimbunga ila sijui kama ni za Mtwara..

IMG-20190424-WA0032.jpeg

IMG-20190424-WA0038.jpeg
 
Usifikirie type za talaka at your age bwana.. There is only Loooooveee...
Kuna Viandaeitini vimeshapitia mengi kwenye mapenzi kuliko hata wahenga. Likely dogo keshakula makwenzi ya kutosha kwenye hiyo lavu dipatimenti mpaka amehamishia frasituresheni zake kwa Wasukuma. Kwenye haya mambo yu jasti neva noo [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom