BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Mamaaa you are the Queen of my HeartMaama I love you.View attachment 1080535
Enjoy
Bati Waiiiiii lakini!Roho mbaya haijengiView attachment 1080537
✔✔✔We fall in love with People we can't have😕
Afrikaaaa ..victims of our own minds
Uzima muhimu.Kuna pengo aisee mtu mliyemzoea akiondoka. Jirani yuko sahihi anaposemaga kuwa kila mtu ana umuhimu wake. Carba ameacha pengo kubwa sana. Tofauti zetu hizi ndizo zinaukamilisha uzi huu...
Ila baada ya mwezi nitarudi Mungu Akipenda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
HahahaWatu wafupi ni sawa tu na Wasukuma. Wanaonewa sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu Ndoa na Talaka suala la kielimu, ni elimu si jambo dogo. Naomba niishie hapoZipi hizo
🤥 Yemi Alade-JohnnySamahani aisee. Sikuangalia hata jina. Nilifikiri naongea na mwanaume...
Hongera kwa kuwa mke wa tatu mkuu. Wanawake hata wawili tu sidhani kama nitawaweza. Nahisi kama vile nitakufa mapema tu [emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣Nimeligundua kosa langu immediately...endi ai apolojaizi...
Sawa mkuuMkuu Ndoa na Talaka suala la kielimu, ni elimu si jambo dogo. Naomba niishie hapo
Nice hair