Waziri wa Mambo ya Ndani, Bwana Kangi Lugola amesema taarifa ya CAG kuhusu jeshi la polisi kutumia Bilioni 16 kununua 'sare hewa' si ya kweli. Amesema sare hizo zimenunuliwa na kwamba CAG hakuziona kwa sababu zipo kwenye makontena.
"Hakuna mtu muongo kama CAG. Anasema Jeshi la Polisi limetumia Bilioni 16 bila kununua sare? Uongo mtupu. Sare zimenumuliwa na zipo kwenye makontena mheshimiwa Spika. CAG kutokuziona haimaanishi hazipo. Nipo tayari kuweka uwaziri wangu rehani, kama itabainika hazipo"
Baba yake
BAK ANAITWA MUONGO:
ngoja mwenyewe arudi mtwara alipokwenda kuzuia kimbunga
wakati CAG anafanya uchunguzi walimpa taarifa hizi isijekuwa mzigo umeingia jana bandarini
‘ISA 500 Audit Evidence’ requires auditors to obtain sufficient, appropriate audit evidence to be able to draw reasonable conclusions on which to base the audit opinion.