Sana, si mchezo huyu jamaa5. Mark Viduka vs Charlton, sekunde 11.90
Mark Viduka alikuwa straika mwenye ufundi mkubwa sana ambapo aliucheza mpira kwa madaha makubwa kiasi cha kumfanya awe kipenzi cha watu wengi waliokuwa wakimtazama akicheza na kufurahia soka lake. Viduka kipindi hicho akitamba kwenye Ligi Kuu England akiwa na kikosi cha Leeds United alikuwa akifunga mabao matamu kwelikweli.
Sote tu malofa, ila kuna viwavi jeshi huko vinapenda kujiita majokaKweli kabisa,anzia mie ka lofa balaa
Hope hatatubadilikia mbeleniMagu kaogopa kuikosa kodi ya maduka ya simu na mitandao ya simu hiyo ndiyo hoja yake ya dhati
Umefanya tangazo la Bure ujue!Am using WhatsApp[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me mzima sana, vile nmekukosa nahisi kuugua hapa.Nimekumiss pia.....mimi mzima wa afya, sijui wewe?
Watu wanakumwagia sifa eti wewe ni mmoja wa warembo vibopa waliopo Jf[emoji849]Hata mimi nimeambiwa ni fainenshali stebo ingawa nayasaka mapene
Umefanya tangazo la Bure ujue!
Wapi sasa mi nasubiri za Noah tu hapa nijaeWatu wanakumwagia sifa eti wewe ni mmoja wa warembo vibopa waliopo Jf[emoji849]
Nadhani waliochukua uamuzi kusajili kwa kutumia kitambulisho ambacho hakiwafikia watanzania walio wengi hawakuangalia athari zake.Magu kaogopa kuikosa kodi ya maduka ya simu na mitandao ya simu hiyo ndiyo hoja yake ya dhati
Umepeleka Macbook kwa CAG??Wapi sasa mi nasubiri za Noah tu hapa nijae
Tunashukuru angalau jf imetuunganisha vilofa kama siye kuweza kaa kijiwe kimoja na matajiri aina yenu tukisemezana.Wapi sasa mi nasubiri za Noah tu hapa nijae
Nakubaliana na uamuzi huu mwema ila navomjua jamaa mpenda makusanyo sababu yake ilikuwa ni makusanyo though hoja ya makusanyo pia sio dhaifu lazima tukusanye kodiNadhani waliochukua uamuzi kusajili kwa kutumia kitambulisho ambacho hakiwafikia watanzania walio wengi hawakuangalia athari zake.
Napongeza uamuzi wake
Ni kweli broNakubaliana na uamuzi huu mwema ila navomjua jamaa mpenda makusanyo sababu yake ilikuwa ni makusanyo though hoja ya makusanyo pia sio dhaifu lazima tukusanye kodi
HakikaNi kweli bro
View attachment 1082078
Somehow it got diverted
Kwa kweli uwe huna kitu mtaani na kwenye sosho midia pia uwe hauna..Tunashukuru angalau jf imetuunganisha vilofa kama siye kuweza kaa kijiwe kimoja na matajiri aina yenu tukisemezana.
Fursa kama hizi hatuzipati mtaani[emoji41][emoji41][emoji16]
Mimi hapaHuyu nani kwani?