Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ahsante kwaa ufafanuzi Bro, napenda sana kumtizama Twiga. Alikuwa akipatikana Tz tuu, si ndio Chief??
 
Eti kaulainilaini..
Koromije huko?
Tena siyo mbali. Ukivuka tu Shinyanga mjini unachepuka kidogo kuja huku maeneo ya Ntuzu. Ulizia kijiji kimoja kinaitwa Gamboshi. Ukifika hapo ulizia Shimba mkulima wa nyanya utanipata mara moja. Unaambiwa hapa Gamboshi ni bata bataz mtindo mmoja hasa ukikuta nimeuza nyanya.
 
Wasukuma na Wanyamwezi ni wachapakazi mkuu na wanavilima. Mambo ya kuokoteza chakula msituni kama wakati wa ukame hayo mambo waachie Wazaramo na huko pwani...
Si kwa uvivu, kuna jamii kadhaa ya viazi hujiotea porini, vingine hufanana na hivyo vya kwenu maana vina utomvu mwingi na kuviandaa mpaka kuondoa utomvu
 
Itabidi nije kula maviazi hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…