Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nilipotaja Wazaramo nilifikiri utaoanisha na TRM na kuona maana yangu. Nimetaja uvivu kiuchokozi tu..Si kwa uvivu, kuna jamii kadhaa ya viazi hujiotea porini, vingine hufanana na hivyo vya kwenu maana vina utomvu mwingi na kuviandaa mpaka kuondoa utomvu
Atakuwa yule triplet wako basi.. My badPM kwangu ulikuja lini mkuu
Afu una sound kama mtu flani hivi,Kwenye mwenzi wa tisa ishaalah
Karibu sana. Angalia tu usije ukanenepa na kufumuka msambwa ukashindwa hata kurudi [emoji16][emoji16][emoji16]Itabidi nije kula maviazi hayo
Nataka ni vaibreti na mimi 😀Karibu sana. Angalia tu usije ukanenepa na kufumuka msambwanda ukashindwa hata kurudi [emoji16][emoji16][emoji16]
Usijali kakaAfu una sound kama mtu flani hivi,
I miss Farkhina.
Poa mkuu ukija nijurishe, ni ahadi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nataka ni vaibreti na mimi [emoji3]
Twende kulala naona umeanza kusinzia humuNataka ni vaibreti na mimi 😀
Kule porini wanyama karibu wote wanaokula nyasi kuna wakati hukutana wakacheza pamoja.Pundamilia na Twiga wanaelewana hakikutanq hakuna ugomvi mkuu
Nataka ni vaibreti na mimi [emoji3]
🤣🤣🤣.. Wkend ndefu hiii hamna kulala mapemaTwende kulala naona umeanza kusinzia humu
Wanyamwezi na Wasukuma wana kaulimbiu yao kuwa watu wa Pwani ni wavivu ingawa huwa hawaleti viroba vya Sembe na mchele huku[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nilipotaja Wazaramo nilifikiri utaoanisha na TRM na kuona maana yangu. Nimetaja uvivu kiuchokozi tu..
Hahaha.. Mmenishinda tabia nyie..Nao yua toking’i! [emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Shukrani kwa maelezoKule porini wanyama karibu wote wanaokula nyasi kuna wakati hukutana wakacheza pamoja.
Ila pia kuna makundi ya wanyama mseto huitwa kundi la Magendaeka.
Yaani wale jamii moja waliotengwa na makundi yao.
Utakuta kuna nyati mmoja, Nyumbu watatu, swala sita, pundamilia watatu, digidigi wawili, palahala mmoja nk. Yaani huwa kundi la wanyama mseto.
Hawa huishi pamoja na Twiga mmoja aliye gendaeka.
Wanamfuata Twiga kwakuwa anawasaidia kuona maadui kwa mbali
Kweli nikalale sasa mi anaconda tena
Hawajamkosea huyo, Wanyamwezi na Wasukuma, Wazaramo na ndugu zake ni baba wa hao watu, popote walipo lazima wamkumbuke Mzaramo kama baba yao[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wazaramo tumekukosea nini mkuu [emoji848][emoji848]