Haahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]Waulize wenyeji wa humu watakuelewesha. Hamfai hata kwa kurumangia wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]. TRM...[emoji36][emoji36][emoji36]
Mimi simo [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Wanyamwezi na Wasukuma wana kaulimbiu yao kuwa watu wa Pwani ni wavivu ingawa huwa hawaleti viroba vya Sembe na mchele huku[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Anaenda kumtega mgumuUnakwenda kumsabahi mgumu mwenye ugumu ili iweje? Westeji ofu nachuro risosis ende taimu. Si afadhali angalau uje kunisabahi mimi huku ugumu wangu una kaulaini laini? [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha.. Mmenishinda tabia nyie..
Mi naendelea na tizi tu..
Vaibresheni tutatumia za kwake
Hongera sana Bro,Hawajamkosea huyo, Wanyamwezi na Wasukuma, Wazaramo na ndugu zake ni baba wa hao watu, popote walipo lazima wamkumbuke Mzaramo kama baba yao[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣Sisi wagumu wala hatuna wasiwasi! [emoji23][emoji23]
Hayupo siriazi bhana[emoji16][emoji16]Usichukulie siriazi ukaishia kukwazika bure. Ngoja nikuitie Mzaramo Mwenzio aje akueleweshe kuhusu "bifu" langu nanyi. Nakazia tena Hamfaiiii !!!
Hawajamkosea huyo, Wanyamwezi na Wasukuma, Wazaramo na ndugu zake ni baba wa hao watu, popote walipo lazima wamkumbuke Mzaramo kama baba yao[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Itabidi aende na mzigo wa maua na mapipa ya red wine wakategane [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Anaenda kumtega mgumu
Huwezi jua. Uzi huu una milima na mabondeHayupo siriazi bhana[emoji16][emoji16]
Simba ana uwezo wa kuua wanyama wote wa porini, maana yeye amejaaliwa maarifa mengi kwa kuwa nyama ndiyo tegemeo la uhai wake, hata hivyo huwinda baadhi ya wanyama kwa timing.Simba anaweza kumuuwa Twiga
[emoji16][emoji16]Sawa. Umepona ghadhabu zangu [emoji36][emoji36][emoji36]
Walishakuharibia nini nawe nshomile?Hongera sana Bro,
Wasuku kazi yao kuharibu tu na hawajali. Bora unavyotoa maelezo dada wa watu anapata amani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Anaenda kumtega mgumu
Itabidi aende na mzigo wa maua na mapipa ya red wine wakategane [emoji16][emoji16][emoji16]
Simba ana uwezo wa kuua wanyama wote wa porini, maana yeye amejaaliwa maarifa mengi kwa kuwa nyama ndiyo tegemeo la uhai wake, hata hivyo huwinda baadhi ya wanyama kwa timing.
Kuna wakati Simba hufa kutokana na mashuti ya Twiga, pembe za nyati, meno ya nguruwe pori nk
Siyo Fragaria kweli?Nani huyo anataka kumtega MGUMU? [emoji23][emoji23][emoji23]