mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Naona kiwango chake kimeshukaANDRES INIESTA
Huenda Iniesta ndiye angekuwa mchezaji wa kwanza kutua Manchester United pindi David Moyes alipopata kibarua cha kuinoa klabu hiyo.
Dili hilo lilishindikana na kiungo huyo aliendelea kuichezea FC Barcelona kwa misimu kadhaa mbele kabla ya kwenda kumalizia soka lake nchini Japan akijiunga na klabu ya Vissel Kobe.
Aseno timu yangu imeanza kunifurahisha tena. This is good [emoji122][emoji122][emoji122]
Hawa jamaa wanaweza kunipigia city
Unadhani ataambiwa nini?Usiamini utakachoambiwa. Ai trasti yu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahaha leo nina ligi kule kwa ubuyu hapa ni peace tuHahahaha unataka kuanzisha ligi ehee
Basi wacha turonge mengine hiyo imepita[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Uongo, ofu kozi...Unadhani ataambiwa nini?
Amun RaAmen.
Anaboa huyo bora aondoke tuLabda Pogba asicheze [emoji16][emoji16][emoji16]
Marhaba jumapili inasemajeSijambo Kaka....shikamoo
Mi mmasai bana nasema mi mmasai welcome hahaaNikaribishe basi nije kwako?
[emoji23][emoji23]Dah !!!
Nobade izi oni mai saidi dammit [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nilisingiziwa eti nilibeba mrembo hapa JF haooo tukakwea pipa tukaenda kula bata kwenye hoteli moja ya nyota tano huko Nyanda za Juu Kusini kwa wiki nzima. Du yu bilivu zisi lai bro?Basi wacha turonge mengine hiyo imepita
Ngoja tuusubirie uongo halafu tusikilize na upande wa pili.Au vipi?Uongo, ofu kozi...
Unategemea hetazi waseme ukweli bro?
Dave usiache kitu ongezea na kabobo za kutoshaLakini naona anakanusha
Davet popote ulipo embu nipe hiyo skendo ya SYB
Awamu hiii uokote hela yelewiiiiiiiiLeo ntaokota hela, nimefika tuu nikakuta mnanisema😀
Humu hamna wa kishua wote wa uswazi tu.Kufurahisha baraza na kukera watu hasa watoto wa kishua. No big deal kabisa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mzozo huu ulishafungwa bro. Nitawashangaa mkiufufua. Davet mwenyewe sidhani kama anakumbuka anything [emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja tuusubirie uongo halafu tusikilize na upande wa pili.Au vipi?