Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sio siri leo unatupa raha sana
 
Tuna kale katabia cha kujilinganisha na wengine [emoji3][emoji3]
Na huyo ni mwizi mkubwa wa furaha ya wengi. Halafu tukitaka kujilinganisha, mfano, na classmates hatuangalii wengi ambao tayari wameshatangulia mbele ya haki na kuona jinsi tulivyobarikiwa kwa kubaki hai. Tunakazana kuangalia hawa wachache waliotuzidi vyeo, elimu, pesa, umaarufu na mengineyo. Binadamu tuko wa ajabu sana !!!
 
Naona Mada hii uletwaji wake umekuwa na uzito kidogo kwema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lionel Messi ni staa wa soka wa kimataifa wa Argentina ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya FC Barcelona ya Hispania aliyojiunga nayo mwaka 2001 na mwaka 2003 akaanza kuichezea FC Barcelona C. Lionel Messi anatajwa kuwa ni moja kati ya wachezaji soka wenye rekodi za kusisimua zaidi duniani. Hizi ni rekodi 5 za kusisimua za Lionel Messi stori kutoka sokkaa.com
 
Hahahaha nimekuona kwa zari kule nikacheka. Mrs van mpole yule huwa hana ligi,ukitaka wa kuendana nae fact kwa fact anafaa sana
Jana kile nilicho andika ndicho kimetokea leo umeona leo ile video ya Zari akiwa mtupu ameiweka mange leo, Nilikwambia Numbisa Zari achane kujibizana na Mange yule mwanamke hazimo kichwani hekima ya kutojibu ni jambo nzuri.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umefurahi mpaka basi dah [emoji16][emoji16][emoji16]

Ungekuwa umesoma "The Art of War" usingecheka hivyo indeed wallahi. Ngoja niishie hapo nisije nikamchefua King Dvt akakasirika na kwenda kudandia pipa kwenda zake Rocky City [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Jana kile nilicho andika ndicho kimetokea leo umeona leo ile video ya Zari akiwa mtupu ameiweka mange leo, Nilikwambia Numbisa Zari achane kujibizana na Mange yule mwanamke hazimo kichwani hekima ya kutojibu ni jambo nzuri.

Akiwa mtupu?

...Oni mai wei [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Hahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…