Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi nilitaka kuona limguu tu. Yule mama ana limguu linalonikoshaga sana. Nilikwenda kuona limguu tu dadangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mzee baba, kamanda, Katibu Mkuu wa CHACHAWA.....Unaonaje ubuyu wa babu Issa[emoji16][emoji23][emoji23][emoji2321][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Bro si uliomba yaishe ohooooo akiona mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe inabidi uombe upya uanachama, kikao cha nidhamu kitakaa kufikiria maombi yako! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Wakati Bodi inajaribu kutatua huu mgogoro uliosababishwa na Mwenyekiti wetu kutumia madaraka yake vibaya, tunawaomba wanachama wote wa CHACHAWA kuwa watulivu huku wakisubiri maamuzi ya Bodi. Kwa mamlaka ya Bodi na kwa mujibu wa katiba yetu wanachama wote mnatangaziwa kuwa Mwenyekiti wa CHACHAWA (Poti Yego) amesimamishwa uanachama effective immediately. Shughuli zote za chama kwa sasa zitasimamiwa na Katibu wetu mkuu mchapakazi na mwadilifu sana SYB. Bodi inawataarifu wanachama kuwa mkwamo huu wa kikatiba utatatuliwa kesho baada ya Bodi kupitisha maamuzi ya kudumu. Asanteni kwa ushirikiano wenu !!!
 

#PotMustGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…