Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mamlaka niliyopewa na Katiba ya CHACHAWA, mimi kama Mwenyekiti Mstahiki namtangaza rasmi moudgulf, kuwa Katibu Mkuu wa hiki Chama!
Marahabaaaaa, nimepokea uteuzi kwa mikono miwili.
Hatua ya kwanza nitapitia upya uanachama wa SYB, kutokana na matukio ya siku za hivi karibuni huko nyanda za juu kusini.
Kamati ya Utendaji itaketi kuangalia hatua stahiki za kuchukua dhidi yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…