Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Umtu poa wake sisi unatuhusu nini? Unafikiri huko kwenye mbuga za wanyama anaendaga peke yake? Hebu mtuwache watu tusije tukafunguka hapa mkaishia kushangaa [emoji2221][emoji2221]
Vumilia ili tusongeAisee.. vidole vinauma kulaiki .. kasi leo ni ya 4G hii ilikuwa
Anza kulipa madeni mkuuLeo noma sana mwenyewe nahisi kizidiwa
Niambie mkuu
Mshimbe huyo hana point ya maana hata moja. Chuki tu bila sababu [emoji16][emoji16][emoji16]ningendako
Duh! Wasukuma washamba sana jamani, sijawahi ona!
Nilikuwa Kahama weekend hii, majina ya mitaa yao utacheka jamani. Majina ya mikoa na mitaa ya watu wamehamishia kwao kana kwamba hawawezi kutunga majina yao wenyewe. Sijui wanaamini kwa kuita mitaa yao majina hayo ndo watapata maendeleao kama ya hiyo mitaa ya asili, sijui. Baadhi ya mitaa ya...www.jamiiforums.com
Haikubaliki hiyo,Nataka hata niwe Mzaramo tu kwa kweli liwalo na liwe [emoji16][emoji16][emoji16]
Au Mzee wa Liver [emoji16][emoji16][emoji16]Moud ni afadhali hata ya Davet aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
Ametuchosha na simulizi zake, afanye haraka ajiendee zakeKiungo wa kati Manchester United Paul Pogba,26, ameidokezea klabu hiyo mpango wake wa kujiunga na Real Madrid msimu ujao.
Huna ugumu kabisa, Davet ni shuhuda[emoji2089][emoji2089]Nilishasema. Ugumu wangu Igneous rocks cha mtoto. Nastahili uenyekiti kabisa !!!
[emoji16][emoji16]Asubuhi kesho Ishaalah inatakiwa uandike hivi "Shikamoo dada Hawachi" hii ndio kitu nadai
Angepigwa mpaka achakae [emoji4][emoji4][emoji4]Kama ni Tanzania huyu mama sijui ingekuwaje...
View attachment 1083337
Kipigo cha kutangulizwa mbele za haki[emoji57][emoji57][emoji41][emoji41]Wapi kipigo cha mbwa koko?
View attachment 1083339
01:07..16:19
Lini hiyoKuanzia mei mosiView attachment 1083341