mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha hamia Liverpool kwa mkopo hakuna shidaNjema kiasi Bro, UNITED bado hainipi furaha.
Hahahaha ndio uwezo wake huoDe gea nae kuna saa anazingua daah hii man u ni shida
Mmekimbiza sana janaUkiona sijajibu quote yako ujue sijaiona page nyingi mnoooo
Hilo maana yakianikwa ya pm tutaumbuka wengiMambo ya kugombana jukwaani sitaki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ya pm yabaki pm
Ninayo tayari mkuu sio vitu vya kupitwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unataka video ya utupu wa Zari mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaMarahabaaaaa, nimepokea uteuzi kwa mikono miwili.
Hatua ya kwanza nitapitia upya uanachama wa SYB, kutokana na matukio ya siku za hivi karibuni huko nyanda za juu kusini.
Kamati ya Utendaji itaketi kuangalia hatua stahiki za kuchukua dhidi yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahahaha sio UKShaabash! Hiki chama lazima tukihamishie Mchafukoge! [emoji23][emoji23][emoji123]
Sioni nafasi yao hata kidogoMan United top 4 wanaweza isikia redioni
Nimepitwa na nini hapa sijaelewa kwa kweliAu Mzee wa Liver [emoji16][emoji16][emoji16]
Hatari miundombinu zero
Amun RaIwe siku ya amani na utulivu
Amun RaMungu aifanye siku yetu salama
Mkuu NBA unashabikia timu gani
UlizaNiulize swali moja
Our future captain
This is Liverpool
mh!!Alitamani kuwa padre yanatoka moyoni kweli hayo
HahahahaMwenyekiti Mpya wa CHACHAWA ndo naamka sasa. Vyeo vikubwa hivi kumbe vitamu ndo maana watu wanauana aisee. I slept like a baby...[emoji16][emoji16][emoji16]